SWALI:
Ningependa kuuliza suala moja
Mimi nina mtoto wa kiume lakini bado hajabaleigh natakuka kujuwa kuna inshara ngani akibaeigh na vipi mtu utajuwa
Muislamu mwenzenu
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa muulizaji. Ishara ya kijana wa kiume kubaleghe ni
Wazazi hawafai kungoja mpaka mtoto abaleghe ndio waanze kumwambia kuhusu Swalah na Funga.
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) anatuelekeza kuhusu malezi ya kiibada ya watoto wetu pale alipotufahamisha:
“Waamrisheni watoto wenu kuswali wakiwa na miaka saba na wapigeni kwa kutoswali wakiwa na miaka kumi” (Abu Daawuud).
Na kufunga nayo ni hivyo hivyo wawe ni wenye kufundishwa na kuzowezeshwa kuanzia mtoto akiwa na miaka hiyo saba na Ibaadah nyingine ni hivyo hivyo.
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/59
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2505&title=Ishara%20Za%20Mtoto%20Wa%20Kiume%20Kubaleghe%20Na%20Nini%20Jukumu%20La%20Mzazi%20Kwa%20Hali%20Hiyo%20Ya%20Mwanae%3F