SW
a.a.m ndugu waislamu mimi nataka kujua
SW
Assalam alaykum.
Nimesoma jawabu kuhusu mafuta, lotion na dawa za nyele zenye alcohol. Tafadhali nifafanulieni asli mia ngapi ndio kiwango kidogo? Na je
JIBU :
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwanza kabla hatujajibu swali lako, tunakukumbusha kuwa unapoandika Salaam hazifai kufupishwa kwa kuandikwa (A.A) au (A.A.W.W.) au kama ulivyoandika kwani haijafundishwa hivyo na pia ni kujikosesha fadhila za Salaam
Shukran zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mafuta yenye alcohol. Mwanzo tungependa kufahamisha kuwa alcohol yenyewe (yaani methanol na ethanol) sio najisi kama tulivyotangulia kusema katika jibu letu kuhusu
Je, (pombe) Pombe Ni Katika Vitu Najisi? [3]
Kutumia Lotion au Mafuta Ambayo Ingredient Yake Ina Alcholol [4]
Isopropyl alcohol ina majina mengi mbali na
“Hakika halali iko wazi, na haramu iko wazi, na baina ya vitu viwili hivi kuna mambo yenye shaka, watu wengi hawayajui. Basi mwenye kuepuka mambo yenye shaka, hakika amehifadhi Dini yake na heshima yake. Na mwenye kuingia katika mambo ya shaka ameingia katika haramu…” (Al-Bukhaariy na Muslim).
Ingia katika viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi:
Kutumia Lotion au Mafuta Ambayo Ingredient Yake Ina Alcholol [4]
Ama jibu la Swali la pili ni kwamba kiwango ambacho kinaweza kutumika hakipo katika Uislamu. Hata hivyo, kiwango kinachotumika ni kule kuwepo kwake hata ikiwa ni asilimia ndogo na namba. Uislamu una kanuni: ‘Kiliweshacho kingi hata kidogo chake ni haramu.’ Hivyo ni bora kutotumia lotion na dawa za nywele zenye alcohol
Kuhusu alcohol denat ni ethyl alcohol (au ethanol) ambayo imeongezwa kemikali zilizo sumu
“Wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizi” (2: 195).
Hivyo,
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/139
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/nasiha_kiislamu
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1270
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2012
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2856&title=Kiasi%20Gani%20Cha%20Alcohol%20Katika%20Vipodozi%20Kinahesibaki%20Kuwa%20Ni%20Najisi%3F