SWALI:
ASSALAM ALAIKUM WARAHMATU LLAHI WABARAKATU.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu udalali wa udanganyifu unaofanywa na watu huko
Na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) naye amesema: “Mwenye kutughushi (kutudanganya) si katika sisi” (Muslim). Kwa hiyo biashara yoyote ile ambayo Muislamu atakuwa anaifanya ni lazima awe mkweli. Kwa kuwa kuwapeleka wafanyi biashara katika maduka ya biashara ili wapate kununua vitu nayo ni kazi inatakiwa dalali asikilizane ujira pamoja na mfanyi biashara ili aweze kumfanyia kazi yake. Mkishaagana atakacho kupatia mfanyi biashara
Hakika ni makosa kutumia hila ya kumfanya mfanyi biashara asiwe ni mwenye kununua kutoka katika duka fulani kwa sababu mwenye duka
Bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi:
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/62
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2848
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/794
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4706&title=Udalali%20wa%20Udanganyifu%20Unafaa%3F