SWALI:
Asalama aleykum.
Napenda kuwashukuru kwa kazi nzuri mnayoifanya.swali langu nini nifanye ili niweze kudumisha sala ya fajar. Nashindwa kuamka ktk swala hio. Pia imani yangu ni very weak nifanyaje? jazakalahu khairan
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu kwa swali lako kuhusu kutoweza kuamka katika Swalaah ya Alfajiri.
Jambo lolote mtu yeyote akiwa na hima nalo basi hufanikiwa kulifanya na akapata usaidizi kutoka kwa Allaah Aliyetukuka.
Hivyo, kuinuka kwa ajili ya Swalaah ya Alfajiri bila shaka zipo njia nyingi zinazoweza kumsaidia mtu kuamka. Miongoni mwazo ni:
Hivyo zipo njia nyingi za kumwezesha mtu kuamka; nasi ni kutaka na kutotaka kuamka kwa ajili ya Swalaah ya Alfajiri.
Ama Imani kudhoofika ni katika maumbile ya mwanaadamu kwani Iymaan hupanda na kushuka. Hupanda kwa utiifu na hushuka kwa maasiya. Allaah Aliyetukuka Anasema:
“Hakika Waumini ni wale ambao anapotajwa Allaah nyoyo zao hujaa khofu, na wanaposomewa Aayah Zake huwazidisha Iymaan, na wakamtegemea Mola wao. Hao ambao wanasimamisha Swalaah na wanatoa katika yale Tunayowaruzuku” (al-Anfaal 8: 2 – 3).
Hivyo, ili kuongeza Iymaan yako ufanye mambo yafuatayo:
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/67
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5209&title=Nini%20Afanye%20Aweze%20Kudumisha%20Swalah%20Ya%20Alfajiri%20Na%20Kuweza%20Kukuza%20Iymaan%20Yake%3F