Vitumbua Vya Kuku Vya Pilipili Mboga Na Kotimiri
Vipimo
(Kupata vitumbua 37 takriban)
Kuku kidari (Steak) 1 kilo
Mayai 10
Unga wa dengu 3 vya supu
Baking powder kijiko 1 cha chai
Vitunguu maji 2 – menya na katakata
Pilipili mboga (Capsicum ya kijani) 1 - katakata
Kidonge cha supu 1
Pilipili mbichi 1
Pilipili manga 2 vijiko vya chai
Chumvi ½ kijiko cha chai
Kotimiri - katakata kiasi msongo 1 mdogo
Mafuta – kiasi ya kuchomea
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/46
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8516&title=Vitumbua%20Vya%20Kuku%20Vya%20Pilipili%20Mboga%20Na%20Kotimiri