Puri Za Hamira
Vipimo
Unga mweupe vikombe 4
Baking powder vijiko 2 vya chai
Hamira kijiko 1 cha kulia
Maji kiasi vikombe 1 ½ takriban
Mafuta ya kukaangia katika karai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Kidokezo:
1-Puri ni nzuri kuliwa na kuku wa kubanika (Grilled) au kuoka (baked). Bonyeza viungo vifuatavyo:
Kuku Wa Kubanika Kwa Sosi Tamu Kali Ya Ukwaju [2]
Kuku Wa Kuokwa (Baked Chicken) [3]
2-Tolea pia na chatine ya ukwaju na mtindi na saladi ya kabeji. Bonyeza viungo vifuatavyo:
Sosi Ya Ukwaju [4]
Chatine Ya Mtindi Na Nanaa [5]
Saladi Ya Kabeji Na Pilipili Mboga (Hoho) Na Karoti [6]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/8513
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1778
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2954
[5] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2953
[6] http://www.alhidaaya.com/sw/node/7255
[7] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8541&title=Puri%20Za%20Hamira%20