Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu
Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.
Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]
10-Je, Allaah Yuko wapi?
Allaah Yuko mbinguni juu ya ‘Arsh.
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ ﴿٥﴾
Ar-Rahmaan juu ya ‘Arshi Istawaa [Twaahaa: 5]
Maana ya Istawaa: Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah.
((إِنَّ اللَّهَ كَتَبَ كِتَابًا : إِنَّ رَحْمَتِي سَبَقَتْ غَضَبِي، فَهُوَمكتوبٌ عِنْدَهُ فَوْقَ الْعَرْشِ)) البخاري
((Hakika Allaah Ameandika maandishi kwamba: “Rahmah yangu imeshinda ghadhabu yangu, nayo yameandikwa kumhusu Yeye juu ya 'Arsh)) [Al-Bukhaariy]
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7768&title=10-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Allaah%20Yuko%20wapi%3F