Tarehe Ya Hijriy

Kibainisho Muhimu

01-Al-Muharram: Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

01-Al-Muharram

 

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

Alhidaaya.com

 

 

Ukumbusho Wa Kukithirisha Swawm Mwezi wa Al-Muharram Na Swiyaam Ya Taasu'aa na 'Aashuraa (9 na 10 Al-Muharram Pamoja Na Masiku Mengineyo)

 

 

Nasiha Na Ukumbusho Wa Swawm  Siku Ya Taasu'aa (9) Na 'Aashuraa (10)

 

 

Fadhila Za Swiyaam Za Fardhi Na Za Sunnah

 

 

 

 

Fadhila Za Mwezi Wa Al-Muharram, Siku Ya 'Aashuraa Na Bid'ah Zake

 

 

 

 

 

Imaam Ibn Baaz: Lini Huanza Swawm Za Mwezi Wa Al-Muharram Na Je Siku Ngapi Za Swiyaam?

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aanze Kufunga Swiyaam Za Sunnah Kama ‘Aashuraa Kwanza Au Alipe Swiyaam Za Kuwajibika Kama Ramadhwaan?

 

 Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Swiyaam Za Al-Muharaam Ni Kufunga Mwezi Mzima? Au Nitakuwa Nimezusha?

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Hairuhusiwi Kupongezana Kwa Mnasaba Wa Mwaka Mpya Wa Hijri (Kiislamu) Au Maulidi

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Aashuraa: Bid’ah Zake: Kuwachinjia Maiti, Mikusanyiko Ya Visomo

  

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Aashuraa: Kulipa Deni La Siwyaam Za Ramadhwaan Na ‘Aashuraa

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Aashuraa: Swawm Siku Moja Ya ‘Aashuraa Pekee Inajuzu?

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Aashuraa: Kuchinja Siku Ya ‘Aashuraa Imo Katika Shariy'ah?

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Aashuraa: Kinachowajibika Siku Ya 'Aashuraa Je Inawajibika Zakaatul-Fitwr?

 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Miongoni Mwa Bid’ah Za ‘Aashurah Ni Kuchinja Kwa Ajili Ya Waliofariki Na Kukusanyika Kusoma Qur-aan

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwenye Hedhi Siku Ya 'Aashuraa Je Inajuzu Alipe Swawm Hiyo? Nini Hukmu Ya Kulipa Nawaafil?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aashuraa: Aanze Swiyaam Za ‘Aashuraa Au Alipe Swiyaam Za Ramadhwaan?

 

 Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aashuraa: Inafaa Swawm Siku Ya ‘Aashuraa Pekee Au Ni Makruwh (Inachukiza)?

 

 Imaam Ibn Baaz: Al-Muharram: Lini Huanza Swawm Za Al-Muharram Na Je Siku Ngapi Za Swiyaam?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Swiyaam Za Al-Muharaam Ni Kufunga Mwezi Mzima? Au Nitakuwa Nimezusha?

 

 

 

Imaam Ibn Rajab - Kunasibishwa Mwezi Wa Al-Muharram Na Allaah

 

 

 

 

 

Mafunzo Kutoka Katika Hijrah -- Siyrah Ya Nabiy

 

Mashairi: Mwaka Mpya Wa Kiislamu -- Mashairi

 

Al-Husayn Bin 'Aliy (Radhiya Allaahu 'anhuma) -- Swahaaba

 

Mwaka Mpya Wa Kiislamu Na Hukumu Ya Kusherehekea -- Bidah-Uzushi

 

Swawm Ya ‘Ashuraa Baina Ya Wenye Kupinga Na Wenye Kuunga Mkono – Makundi Potofu

 

Hijrah: Chanzo Cha Mageuzi -- Siyrah Ya Nabiy

 

 

 

 

 

 

Uzushi Unaodaiwa Kuhusu Mambo Yaliyotokea Siku Ya 'Aashuraa Tarehe 10 -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

Hukmu Ya Swawm Ijumaa Ikiwa Ni Siku Ya 'Arafah Au 'Aashuraa

 

Kufunga Swawm Za Sunnah Kuanzia Ijumaa Inafaa?

 

Orodha Ya Majina Ya Miezi Ya Kiislaam (Hijri) -- Maswali: Taariykh

 

Tofauti Ya Miezi Ya Kiislamu (Hijriyyah) Na Ya Miladi Zipi Sifa Zake? -- Maswali: Mchanganyiko

 

 

Miezi Ya Kiislamu Na Makosa Yaliyozooleka Katika Jamii Kwa Kuitaja Kwa "Mfungo Kadhaa" -- Maswali: Siyrah

 

Uzushi Kuhusu Swalah Maaulum Ya Jumatano Ya Mwisho Mfungo Tano (Swafar)

 

 

Share

Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

Alhidaaya.com

 

 

AlhamduliLLaah. Inapasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Kutuendeleza uhai katika mwezi mwengine mtukufu.  Ni fursa nyingine ya kutenda mema tuchume thawabu nyingi. Mema ambayo hatuna budi kuyatenda kwa ajili ya kujenga Aakhirah yetu kabla haijafika siku ya kuaga kwetu dunia.

 

Utukufu wa miezi hiyo mitukufu imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾

Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]

 

Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:

 

عن أبي بَكْرَةَ رضي الله عنه عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أنه قَالَ:  ((إن الزَّمَانَ قَدْ اسْتَدَارَ كَهَيْئَتِهِ يَوْمَ خَلَقَ اللَّهُ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضَ السَّنَةُ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ثَلاثٌ مُتَوَالِيَاتٌ ذُو الْقَعْدَةِ وَذُو الْحِجَّةِ وَالْمُحَرَّمُ وَرَجَبُ مُضَرَ الَّذِي بَيْنَ جُمَادَى وَشَعْبَانَ))

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Bakr (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hakika mgawano wa zama umerudi katika hali yake ya asili siku Allaah Alipoumba mbingu na ardhi. Mwaka una miezi kumi na mbili; minne miongoni ya hiyo ni mitukufu, mitatu inafuatana pamoja; Dhul-Qa'adah, Dhul-Hijjah na Muharram, mwengine ni Rajab wa (kabila la) Mudhwarr ambao uko baina ya Jumaadaa na Sha'baan))  [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

Imaam Atw-Twabariy amesema:

 

 

Share