Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kujiombea Kufa Kwa Ajili Ya Balaa Inayokusibu
Haijuzu Kujiombea Kufa Kwa Ajili Ya Balaa Inayokusibu
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
“Du’aa ya mtu kujiombe nafsi yake kufa ni haraam wala haijuzi kwa sababu Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Asitamani mmoja wenu mauti kwa ajili ya dhara iliyomfikia.”
[Majumuw’ Al-Fataawaa (90)]