11-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wenye Hedhi Na Nifaas Wanaruhusiwa Kula Mchana Wa Ramadhwaan
11-Wenye Hedhi Na Nifaas Wanaruhusiwa Kula Mchana Wa Ramadhwaan
Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Je Mwenye hedhi na Nifasi wanaruhusiwa kula mchana wa Ramadhwaan?
JIBU:
Naam. Wanaruhusiwa kula mchana wa Ramadhwaan lakini ni vyema iwe kwa siri na haswa kama kuna kijana katika nyumba kwa sababu huenda likamtatiza (akataka kufungulia Swawm).
![Share](/sw/sites/all/themes/corporateclean/images/shareiconsmall.png)