13-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wakati Na Siku Za Kupasa Udhwhiya (Kuchinja)
Wakati Na Siku Za Kupasa Udhwhiya (Kuchinja)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
www.alhidaaya.com
Wakati wa Udhwhiya ni baada ya Swalaah ya 'Iyd (Al-Adhwhaa) hadi kuzama kwa jua siku ya kumi na tatu, kwa maana ni siku nne (jumla); Siku ya ‘Iyd na siku tatu baada ya hapo.
[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/12)]