Imaam Al-Albaaniy: Wanataka Dola Ya Kiislaam Lakini Wanashindwa Kusimamisha Msikiti Wa Manhaj Ya Sunnah
Wanataka Dola Ya Kiislaam Lakini Wanashindwa Kusimamisha Msikiti Wa Manhaj Ya Sunnah
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:
"Waislam wanataka kusimamisha dola ya Kiislaam wala hawawezi kusimamisha Msikiti uliojengwa katika (Manhaj ya) Sunnah." [Alhuda wa An-Nuwr (1068)]