Imaam An-Nawawiy: Vitabu Viwili Swahiyh Na Wajibu Wa Kufanyia Kazi Hadiyth Zake
Vitabu Viwili Swahiyh Na Wajibu Wa Kufanyia Kazi Hadiyth Zake
Imaam An-Nawawiy (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam An-Nawawiy (Rahimahu Allaah):
Ummah umekubaliana juu ya usahihi wa vitabu hivi viwili (Swahiyh Al-Bukhariy na Swahiyh Muslim) na uwajibu wa kufanyia kazi Hadiyth zake.
[Tahdhiyb Al-Asmaa Wal-Lughaat (1/73)]
