05-Hadiyth Husnul-Khuluq: Husnul-Khuluq Inazidisha Umri Wa Mtu
Hadiyth: Husnul-Khuluq (Tabia Njema)
Hadiyth Ya 5
Husnul-Khuluq Inazidisha Umri Wa Mtu
عن عائشة أم المومنينن رضي الله عنها عن النبي صلى الله عليه وسلم: ((...صِلةُ الرَّحِمِ وحُسنُ الخُلُقِ وحُسنُ الجِوارِ يَعمُرانِ الدِّيارَ، ويَزيدانِ في الأعمارِ))
Imepokelewa kutoka kwa Mama wa Waumini ‘Aaishah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Kuunga undugu na Husnul-Khuluq (tabia njema) na kumfanyia wema jirani inaamirisha nyumba na inaongeza umri)) [Ahmad na ameisahihisha Al-Albaaniy katika As-Silsilah Asw-Swahiyhah (519), Swahiyh At-Targhiyb (2524)]