21-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan
Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa
Hadiyth Ya 21
Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan
عن عثمانَ بن عفانَ رضي الله عنه أنَّ النبيَّ صلى الله عليه وسلّم قالَ: ((خَيرُكُم مَنْ تعَلَّمَ القُرآنَ وعَلَّمَه)) صحيح البخاريِّ
Imepokelewa kutoka kwa 'Uthmaan bin 'Affaan (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) kwamba Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Mbora wenu ni yule mwenye kujifunza Qur-aan kisha akaifundisha.” [Al-Bukhaariy]
Fadhila nyenginezo tele za kujifunza na kufundisha Qur-aan zinapatikana katika viungo vifuatavyo:
Aayaat Kuhusu Fadhila Za Qur-aan Na Umuhimu Wake
Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Katika Hadiyth Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
Maamrisho Ya Kuisoma Qur-aan Na Kuifanyia Kazi