07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ruhusa ya Kuvaa Hariri kwa Mwenye Ungonjwa wa Ngonzi
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب جواز لبس الحرير لمن بِهِ حكة
07-Mlango Wa Ruhusa ya Kuvaa Hariri kwa Mwenye Ungonjwa wa Ngonzi
عن أنسٍ رضي الله عنه ، قَالَ : رَخَّصَ رسولُ الله صلى الله عليه وسلم لِلزُّبَيْرِ وعَبْدِ الرَّحْمان بن عَوْفٍ رضي الله عنهما في لُبْس الحَريرِ لِحَكَّةٍ كَانَتْ بِهِما . متفقٌ عَلَيْهِ .
Anas (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alimruhusu Zubayr na 'Abdir-Rahmaan bin 'Awf (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuvaa nguo ya hariri, kutokana na ugonjwa wa ngozi waliokuwa nao." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy]