06-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwatolea Salamu Watoto
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب السلام عَلَى الصبيان
06-Mlango Wa Kuwatolea Salamu Watoto
عن أنس رضي الله عنه : أنَّهُ مَرَّ عَلَى صِبْيَانٍ ، فَسَلَّمَ عَلَيْهِمْ ، وقال : كَانَ رسول الله صلى الله عليه وسلم يَفْعَلُهُ . متفقٌ عَلَيْهِ .
Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa yeye alipita kwa watoto, akawatolea salamu na akasema: "Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akifanya hivyo." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy]
