07-Mwezi Wa Rajab: Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

07-Rajab

 

 

 

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

Alhidaaya.com

 

 

Ni fursa nyingine ya Waumini kutilia juhudi kubwa ya kutenda mema, ili kujichumia thawabu tele katika Miezi Mitukufu. Utukufu wa miezi hiyo imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾

Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]

 

Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:

 

عن أبي بَكْرَةَ رضي الله عنه عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أنه قَالَ:  ((إن الزَّمَانَ قَدْ اسْتَدَارَ كَهَيْئَتِهِ يَوْمَ خَلَقَ اللَّهُ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضَ السَّنَةُ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ثَلاثٌ مُتَوَالِيَاتٌ ذُو الْقَعْدَةِ وَذُو الْحِجَّةِ وَالْمُحَرَّمُ وَرَجَبُ مُضَرَ الَّذِي بَيْنَ جُمَادَى وَشَعْبَانَ))

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Bakr (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hakika mgawano wa zama umerudi katika hali yake ya asili siku Allaah Alipoumba mbingu na ardhi. Mwaka una miezi kumi na mbili; minne miongoni ya hiyo ni mitukufu, mitatu inafuatana pamoja; Dhul-Qa'adah, Dhul-Hijjah na Al-Muharram, mwengine ni Rajab wa (kabila la) Mudhwarr ambao uko baina ya Jumaadaa na Sha'baan))  [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

Imaam Atw-Twabariy amesema: “Katika miezi yote kumi na mbili Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ameichagua hii minne na Ameifanya kuwa ni mitukufu na kusisitiza kuitakasa, na kwamba dhambi zitakazofanyika humo ni zaidi na hali kadhalika thawabu za ‘amali njema zinakuwa maradufu na zaidi. [Atw-Twabariy 14: 238]

 

Qataadah amesema kuhusu kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 

Endelea...

 

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Du’aa "Allaahumma Balighnaa Ramadhwan" Haikuthibiti

 

Shaykh Fawzaan: Rajab: Kuomba Ee Allaah! Tubarikie Rajab Na Sha´baan Na Tufikishe Ramadhwaan

 

Imaam An-Nawawiy: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Haina Asili Bali Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Rajab: Du’aa Makhsusi Ya Rajab Sha’baan Na Ramadhwaan Imethibiti?

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Kufanya Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Baaz: Rajab: Kuhusisha Mwezi Wa Rajab Kwa ‘Ibaadah

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kuhusisha Rajab Na Sha’baan Kwa Swawm Na I’tikaaf Hakuna Dalili

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab Na Sha'baan: Hakuna Dalili Kuhusisha Kwa Swawm Na I’tikaaf

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Kufanya Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Haina Asili Bali Ni Bid’ah

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kufanya Misimu Ya ‘Ibaadah Bila Ya Kuweko Dalili Ni Bid’ah

 

 

 

Abuu Bakr Al-Balkhiy: Rajab Kupandikiza Mbegu Sha'baan Kutilia Maji Ramadhwaan Kuchuma Matunda

 

 

Imaam Ibn Hajar: Hakuna ‘Ibaadah Yoyote Iliyothibiti Kutendwa Katika Mwezi Wa Rajab

 

 

Imaam Ibn Rajab: Haikuthibiti Mwezi Wa Rajab Kuwa Ni Mahsusi Kwa Ajili Ya Kutoka Zakaah

 

Imaam Ibn Rajab: Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim: Hakuna 'Ibaadah Maalumu Inayofungamana Na Mwezi Wa Rajab Wala Tukio La Israa Wal Mi'raaj

 

 

Imaam Ibn Rajab: Kusherehekea Siku Ambazo Hazimo Katika Shariy’ah Ni Bid’ah

 

 

 

 

Mwezi Wa Rajab: Fadhila Zake Na Yaliyozuliwa Ndani Yake

 

Bid’ah Za Kujipeusha Nazo Katika Mwezi Wa Rajab Na Khaswa Tarehe 27

 

Tukio la Israa Na Mi'iraaj

 

Mashairi: Swalah Ni Nguzo Muhimu: Sababu Ya Israa Na Mi'iraaj

 

Israa Na Mi'iraaj - Kisa Cha Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhiya Allaahu 'Anhu)

 

Muujiza Wa Al-Israa Wal-Mi'raaj Na Mafunzo Yake

 

 

Maswali Na Majibu:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share