11-Dhul-Qa'dah: Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha
11-Dhul-Qa'dah
Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha
'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu
'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu
Ni fursa nyingine ya Waumini kutilia juhudi kubwa ya kutenda mema, ili kujichumia thawabu tele katika Miezi Mitukufu. Utukufu wa miezi hiyo imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):kufu imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾
Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]
Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:
Umuhimu Wa Kukimbilia Kutekeleza Nguzo Ya Hajj
Sababu Za Kuwa Na Miezi Mitukufu -- Maswali: Taqwa - Tazkiyyah
Tofauti Ya Miezi Ya Kiislamu (Hijriyyah) Na Ya Miladi Zipi Sifa Zake?