01-Uswuul Al-Fiqhi: Kuhusu Kitabu Hichi
Uswuul al-Fiqh ni sayansi ambayo, hoja na ufunuo (wahy) unakaa pamoja kwa kushirikisha rai yakinifu na shari'ah iliyopokewa. Lakini bado, al-Uswuul haitegemei
Kitabu hichi ni hatua ya kurahisisha Uswuul al-Fiqh na utangulizi wake kwa wataalamu katika sayansi ya jamii na wale ambao hawana nafasi ya kusoma kwa ndani maelezo ya sayansi hiyo.
