Kumuoa Mkristo Bila Ya Ridha Ya Wazazi Wake Inafaa Ikiwa Mke Mwenyewe Anataka Kusilimu?
SW
Mimi nina swali kuhusu ndoa. Ikiwa kama nimepata msichana asiye kuwa muislam tukakubaliana kwa ridhaa yake kubadili dini kisha tuoane, lakini wazazi wake ambao ni manasara hawako radhi kwa kusilimu binti yao wala kuolewa na muislamu, ndoa hii itafungwaje na itaswihi wakati hakuna ridhaa ya wazazi wala walii alopewa idhini na wazazi na hali mtoto wa kike yupo radhi kutengana na wazazi wake ili mradi asilimu na kuolewa na muislam?
Akhsante naomba hikma ya suala hili.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako zuri kuhusu ndoa. Mambo ya ndoa si mambo ya mchezo
Kwa hiyo, kumfundisha yanayotakiwa katika Uislamu ni muhimu kabla ya kufunga ndoa. Itatakiwa umpe fursa ya
Tufahamu mzazi asiyekuwa Muislamu hawezi kuwa walii wa msichana aliyesilimu. Lakini kwa kuwa Uislamu ni Dini ya maumbile na imekuja kwa maslahi ya wanadamu inachunga
Kwa kuwa msichana huyo hana walii basi Qaadhi, Imaam au Shaykh atasimama mahali pa mzazi. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Qaadhi ni walii kwa asiyekuwa na walii”.
Nchi nyingine kama
Na Allaah Anajua zaidi