005-Hakimu Wa Kiislamu: Vitabu Vya Marejeo
VITABU VYA MAREJEO
Bila ya shaka hakuna kazi inayonasibiana na Uislamu ikakamilika bila ya kurejea maneno matukufu ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala). Nayo ni Qur-aan Tukufu. Kwa kuwafanyia wepesi wasomaji wa Kiswahili, tumetumia maneno ya Kiswahili bila ya kuweka zile Aayah asili. Hili ni vyema likawashajiisha wasomaji kurudia Aayah za Qur-aan moja kwa moja. Kwani fadhila za kuisoma Qur-aan zinapatikana kwa kurudia Aayah asili katika lugha ya Kiarabu
Kwa ajili ya kufanikisha utendaji wa kazi hii vyema, imenibidi kurejea zaidi katika vitabu vya Kiingereza na baadhi ya vitabu vya Hadiyth za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Kamusi imetumika kwa ajili ya maana na uchambuzi wa neno kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili.
Ama sheria nimetumia zaidi kutoka
QUR-AAN TAFSIYR YA KISWAHILI
Shaykh Abdullah Saleh Al-Farsy, Qur-aan Takatifu, (1994).
HADIYTH
Imaam Abiy Zakariyyah Yahya bin Sharaf an-Nawawiy ad-Damshiqiy, Riyaadhu as-Swaalihiyna, Daarul-Kitaabul-'Alamiyyah, Bayruut – Lubnaan, (1985).
Al-Haashimiy, Mukhtaar ahaadiyth an-Nabawiyyah.
Duktuur Mustafa Dayb Matn al-Ghaayatu wa at-Taqriyb, (1978).
SHARI’AH[1]
Fundamentals Of An Islamic Constitution, Extract From The Concept Of Islamic State, Treatise, Islamic Council Of
'Abdur-Rahiym, The Principles of Islamic Jurisprudence, Afif Printers,
G. M. Azad, Judicial System of Islam, Afif Printers,
SHERIA[2]
B. D. Chipeta, A Handbook For Public Prosecutors,
B. D. Chipeta, A Magistrate's Manual, T. M. P Book Department,
B. D. Chipeta, Civil Procedure In Tanzania, A Student's Manual, Dar es Salaam University Press Ltd, Dar es Salaam, Tanzania, 2002.
Dr. Avtar Singh, Principles Of The Law of Evidence, Central Law Publications,
SHERIA ZA
Interpretation Decree, Chapter 1, (1953).
Courts Decree, Chapter 3, (1923).
Jurisdiction Decree, Chapter 4, (1934).
Evidence Decree, Chapter 5, (1917).
Evidence (Banker's Book) Decree, Chapter 6, (1949).
Oaths Decree, Chapter 7, (1917).
Civil Procedure Decree, Chapter 8, (1917).
Limitation Decree, Chapter 12, (1917).
Arbitration Decree, Chapter 25, (1928).
Contract Decree, Chapter 149, (1917).
Land Tribunal Act, Act 12 of 1994.
KAMUSI YA KIARABU - KIINGEREZA
Hans Wehr – Edited by J
KAMUSI YA KIINGEREZA - KISWAHILI
A Standard English-Swahili Dictionary.
[1] Ni vyanzo vya sheria vinavyotokana na misingi mikuu ya sheria za Kiislamu kutoka kwenye Qur-aan na Sunnah pamoja na vyanzo vyengine vidogo
[2] Kwa mnasaba wa sehemu hii, tunalifasili neno hili kuwa: Ni sheria ambazo zimetungwa na mwanaadamu zinazodai kuwa hazina uhusiano wa dini yoyote kwa ajili ya kuweka misingi na kanuni za maisha ya mwanaadamu hapa duniani.