Ramadhwaan: Zakaah Lazima Itolewe Ramadhaan?
SWALI:
Assalaam alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Shaikh naomba unipe jibu la Suali langu.
1. Ikiwa nataka kutoa Zakaah ya
mwezi wa Ramadhani itafaa? Au itahesabiwa ni Sadaqa?
2. Hii Zakah ya
tu? Na ikipita au ikiwa kabla ya Ramadhani itahesabiwa
kua ni Sadaqa?
Basi Shaikh ntashukuru
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Tunamshukuru Allah Aliyetupatia neema nyingi ambazo hatuwezi kuzihesabu. Na shukrani kwa kaka na dada zetu ambao wanauliza maswali yenye kutufaidisha sote.
1. Hakika ni kuwa Zakah ya
{{Wa kupewa sadaka ni mafakiri, na masikini, na wanao zitumikia, na wa kutiwa nguvu nyoyo zao, na katika kukomboa watumwa, na wenye madeni, na katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na wasafiri. Huu ni waajibu ulio faridhiwa na Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima}} (9: 60).
2. Tofauti ya Zakah na Sadaqah ni kuwa Zakah inatolewa kufuata masharti ambayo tumeyataja katika jibu la swali la kwanza na Sadaqah inatolewa wakati wowote na hata
Kwa manufaa zaidi tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo:
Na Allaah Anajua Zaidi