Sehemu Zake Za Siri Taabaan, Katika Miezi Mitatu Anafanya Mara Moja Tu Tena Kwa Mashaka, Je, Ana Jini Mahaba?
SWALI:
ASALAMU ALAYKUM. Mashekhe wetu walimu wetu, Eweeeee; Mwenyenzi Mungu wajaalie watu hawa walimu hawa waislamu hawa, wanaojibu majawabu haya ya haki, wape muda mrefu wa kuishi kwa ajili ya kuiendeleza haki ndani ya dini yetu ya kiislamu AMINA YA RABI. Napenda kuuliza hivi, Kaka yangu ana matatizo ya [uume wake haufanyi kazi vizuri anaweza akachukuwa muda mrefu
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu kwa swali lako kuhusu utaabani wa uume wa ndugu yako.
Hakika zipo sababu nyingi zinazomfanya mwanamme awe hafai kabisa kuhusiana na tendo la ndoa. Moja wa sababu ni mwanamme kuwa na ada za siri
Ikiwa mmekwenda hospitali na mkapewa dawa lakini bila mafanikio inatakiwa nduguyo atafute tiba mbadala. Tiba hizo ni kwa mfano zile zinazoitwa za Kiswahili. Wapo matwabibu mahiri kabisa kuhusiana na masuala miongoni mwa wale waliobobea ima kwa kufundishwa na waalimu wao au kupata katika vitabu vya madaktari wa zamani wa Kiislamu. Tiba nyingine mbadala ambayo dawa
Wakati huo huo unaweza ukampeleka nduguyo kwa Shaykh mcha Mungu aliye mahiri katika kazi ya kumsomea mgonjwa bila ya kuingiza ushirikina ndani yake. Kawaida huyu Shaykh atasoma kisomo cha shari’ah (Ruqyah) ili ibainike
Bonyeza viungo vifuatavyo upate manufaa zaidi:
Mke Wangu Amevaliwa Na Majini Wa Mahaba? Hapendi Kutenda Kitendo Cha Ndoa Na Mimi
Naingiliwa Kwa Kitendo Cha Ndoa Na Majini
Mke Analalamika Mume Ana Mashetani Yanamfanya Asiweze Kukamilisha Tendo La Ndoa
Mume Au Mke Hawezi Tendo La Ndoa Kwa Zaidi Ya Miaka 5, Hukmu Ni Nini?
Mume Hamtoshelezei Matamanio Yake Ya Tendo La Ndoa, Anaomba Ushauri
Tunamuombea shifaa ya haraka nduguyo kwa ugonjwa alio nao.
Na Allaah Aliyetukuka Anajua zaidi