Aayah Zilofuta Na Zilofutwa – An-Naskh wal-Mansuukh Katika Qur-aan

SWALI:

 

Assalam Alaykum!

Naomba nifahamishwe ni aya ngapi na zipi zilizofutwa na zilizofuta katika Quran (i.e Naasikh wal mansukh).


 

JIBU: 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Rabb Mlezi wa walimwengu wote, Swaalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho. 

Shukrani kwa swali lako kuhusu elimu na Aayah ambazo ni Naasikh na Mansuukh.

Hakika hili ni somo lililo pana hivyo tunaona kuwa ni bora kwako kusoma vitabu vifuatavyo ambavyo vitakusaidia katika kuelewa hilo:

 Uswuul al-Fiqhi al-Islaamiy (Kiswahili)

1.     Usuul at-Tafsiyr – Dr. Abu Amiynah Bilaal Philips (Kiingereza).

2.     The Sciences of the Qur’an – Prof- Abdur-Rahman Doi (Kiingereza).

3.     Uluumul Qur’an – Ahmad Von Denfer (Kiingereza).

4.     Principle Of Islamic Jurisprudence – Muhammad Hisham Kamali (Kiingereza).

5.     Itqaan fiy Uluumil Qur-aan – as-Suyyutiy (Kiarabu).

6.     An Introduction Tp The Sciences Of The Qur’aan – Abu Ammaar Yasir Qadhi

 

Na tukiwafikiwa kupata nafasi siku za mbele inshaAllaah tutajaribu kukukusanyia maelezo japo kwa mukhtasari katika suala hilo.

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share