Kufunga Uzazi Kwa Sababu Ya Umri Mkubwa Inajuzu?
SWALI:
Mimi ni mwanamke wa miaka 44 nina watoto 6 na sasa nina mimba ya mtoto wa 7. Nafikiria nikishajifungua salama mara hii kufunga kabisa kizazi kwa sababu ya umri wangu mkubwa. Je naruhusiwa kufanya hivyo sitokuwa makosani?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kwa swali lako kuhusu kufunga mimba kabisa kwa ajili ya umri mkubwa.
Shari’ah haijamruhusu mwanamke mwenye umri mkubwa kufunga uzazi.
Ikiwa ipo hatari ya kiafya na athari nyenginezo unaweza kufunga kizazi kwa muda kwani hujui
Tazama pia Mama wa Waumini Khadiyjah (Radhiya Allaahu ‘anha) aliolewa na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akiwa na umri wa miaka 40. Na katika maisha
Tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi:
Kupanga Uzazi Na Sio Kuzuia Uzazi
Njia Gani Inayopasa Katika Sheria; Kuzuia Au Kupanga Uzazi?
Nimeshauriwa Kuzuia Uzazi Na Daktari
Na Allaah Anajua zaidi