Swalaatul-Ghaaib: Muda Wa Kumswalia Maiti Swalaah Ya Ghaibu
SWALI
Na kama kutatokea kufiwa na mtu wako alie mbali, jee infaa kumsalia siku yoyote hata kama kishazikwa.
JIBU:
Wanachuoni wanaonelea kuwa inafaa ikiwa hajaswaliwa na usipite muda mrefu sana, kama alivyofanya Mtume صلى الله عليه وآله وسلم . kumswalia mama aliyekuwa akisafisha Msikiti.