Aisikirimu Ya Vanilla Cornflakes Na Pichi
Aisikirimu Ya Vanilla Cornflakes Na Pichi
Vipimo
Aisikirimu ya vanilla (vanilla ice cream) - 12 michoto (Scoops)
Pichi (peaches) - 1 kopo
Cornflakes - 2 vikombe
Namna Ya Kutayarisha:
- Chota michoto (scoops) miwili weka katika vigilasi vya aisikirimu.
- Tia vipande vya pichi pembeni.
- Pembe nyingine tia cornflakes kidogo kama inavyoonekana katika picha.
