Trifle Ya Keki Aisikirimu Ya Embe Na Vanilla
Trifle Ya Keki Aisikirimu Ya Embe Na Vanilla
Vipimo
Keki plain (Tengeneza mwenyewe au nunua ya tayari) Katakata vipande - 1
Aisikirimu ya vanilla (Nunua ya tayari, yayusha kiasi kidogo) - 1 paketi
Aisikirimu ya embe - 1 paketi
Namna Ya Kutayarisha:
- Tia kiasi cha aisikirimu ya vanilla uliyoyayusha chini
- Tia vipande vya keki.
- Tia juu yake mchoto (scoops) ya aisikirimu ya embe.
- Panga kwenye treya ikiwa tayari.
