114 - An-Naas
النَّاسْ
114-An-Naas
114-An-Naas: Utangulizi Wa Suwrah
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ ﴿١﴾
1. Sema: Najikinga na Rabb wa watu.[1]
مَلِكِ النَّاسِ ﴿٢﴾
2. Mfalme wa watu.
إِلَـٰهِ النَّاسِ ﴿٣﴾
3. Muabudiwa wa Haki wa watu.
مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ ﴿٤﴾
4. Kutokana na shari za anayetia wasiwasi, mwenye kurejea nyuma akinyemelea.
الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ ﴿٥﴾
5. Ambaye ananong’ona kutia wasiwasi vifuani mwa watu.
مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ ﴿٦﴾
6. Miongoni mwa majini na watu.
[1] Sababun-Nuzuwl (Sababu Ya Kuteremshwa) Aayah Au Suwrah:
Bonyeza kiungo kifuatacho:
Rejea pia Utangulizi Wa Suwrah kwenye faida tele pamoja na fadhila za Suwrah.