024-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumwabudu Vizuri
Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumuabudu Vizuri
اللَّهُمَّ أَعِنِّي عَلَى ذِكْرِكَ وَشُكْرِكَ وَحُسْنِ عِبَادَتِكَ
Allaahumma a’inniy ‘alaa dhikrika, wa shukrika wa husni ‘ibaadatika
Ee Allaah nisaidie juu Kukudhukuru, na kukushukuru na kukuabudu kwa uzuri utakikanao
[Abuu Daawuwd, Ahmad na kwa usimilizi tofauti kidogo kutoka kwa An-Nasaaiy. Wasia wa Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) aliompa ‘Mu’aadh bin Jabal (رضي الله عنه) aombe du’aa hii kila baada ya Swalaah].