027-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kuomba Kukithirishwa Mali Na Watoto Na Kubarikiwa
Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
Kuomba Kukithirishiwa Mali Na Watoto Na Kubarikiwa
اللَّهُمَّ أَكْثِرْ مَالِي وَوَلَدِي وَبَارِكْ لِي فِيمَا أَعْطَيْتَنِي وَأَطِلْ حَيَاتِي عَلىَ طَاعَتِكَ وَأَحْسِنْ عَمَلِي وَاغْفِرْلِي
Allaahumma akhthir maaliy wa waladiy wa Baarikliy fiymaa a’twaytaniy. Wa atwil hayaatiy ‘alaa twaa’atika wa ahsin ‘amaliy, waghfir-liy
Ee Allaah, ikithirishe mali yangu na watoto wangu, na nibarikie katika Uliyonipa
[Al-Bukhaariy, Muslim, At-Tirmidhiy, Ahmad – Du’aa ya Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم ) kwa Anas (رضي الله عنه) ]
Na nipe uhai mrefu niwe katika utiifu Wako, na boresha 'amali zangu na nighufurie
[Al-Bukhaariy katika Aadaab Al-Mufrad (653) na ameipa daraja Swahiyh Al-Albaaniy katika Silsilatul-Ahaadiyth Asw-Swahiyhah (2241)]