08-Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad: Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana
Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana
Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad (Hafidhwahu-Allaah)
SWALI:
Mwanamke ambaye mumewe amemuingilia (mchana wa) Ramadhwaan naye yuko radhi. Nini hukmu yake mwanamke huyo?
JIBU:
Ni juu yake mwanamke kulipa kafara na mumewe pia mfano wake (alipe kafara).
[Fataawaa Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abaad]
