05-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Swiyaam Za Siku Za Sita Za Shawwaal, Je, Ni Lazima Mtu Kufunga Kila Mwaka?

Swiyaam Za Siku Za Sita Za Shawwaal, Je, Ni Lazima Mtu Kufunga Kila Mwaka?

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Ikiwa mtu alikuwa akifunga Sitta Shawwaal, kisha akaumwa au hakuweza kufunga kwa sababu aliona ngumu kufunga mwaka mmoja. Je, ni dhambi kwake kuacha Swiyaam hizo? Kwa sababu amesikia kwamba anayeanza kufunga Swiyaam za Sitta Shawwaal inakuwa ni lazima aendeleze kila mwaka  na akiacha ni dhambi kwake. Je, ni kweli?

 

 

JIBU:

 

Swiyaam za Siku Sita Za Shawwaal baada ya 'Iydul-Fitwr ni Sunnah.

Hivyo si fardhi kwa anayefunga mwaka mmoja au zaidi (Akiweza anafunga na asipoweza anaacha kufunga) Na si dhambi kwa anayeacha kufunga.

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah Lil-Buhuwth Al-‘Ilmiyyah Wal Iftaa Fatwa Namba 7306 -  Fataawaa Ramadhwaan – Mjalada 2, ukurasa 696, Fatwa namba 702]

 

 

Share