Imaam Ibn Taymiyyah: Niyyah Ya Kwanufaisha Watu Ni Kupata Daraja Ya Al-Abraar Na Al-Akhyaar
Niyyah Ya Kwanufaisha Watu Ni Kupata Daraja Ya Al-Abraar Na Al-Akhyaar
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Anayetaka kufikia daraja ya Al-Abraar (Waja Wema Watukufu) na kujifananisha na Al-Akhyaar (waliobora kabisa) basi atie niyyah kunufisha viumbe kila siku linapotoka jua.”
[Imaam Ibn Taymiyyah – Sharh Hadiyth Jibriyl (609)]
