11-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Akifunga Sitta Shawwaal Atawajibika Kufunga Kila Mwaka?
Je, Akifunga Sitta Shawwaal Atawajibika Kufunga Kila Mwaka?
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
www.alhidaaya.com
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Akifunga baadhi ya miaka na akaacha baadhi ya miaka hakuna ubaya kwa sababu hiyo ni Sunnah na si fardhi."
[Al-Fataawaa (20/21]