Shaykh Fawzaan: Maiti Hufurahika Na Kupumbazika Kwa Kutembelewa Na Kuombewa Du’aa
Maiti Hufurahika Na Kupumbazika Kwa Kutembelewa Na Kuombewa Du’aa
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
SWALI:
Je, kuna dalili katika Shariy’ah kwamba maiti hufurahika pindi ahli zake wanapomtembelea kaburini?
JIBU:
Naam! Hufurahika na hupumbazika kwayo (kutembelewa) na hufurahika kwa du’aa anayoombewa.
