12-Kwa Ajili ya Allaah Kisha Historia: Faida Tunazozipata

 Faida Tunazozipata

Kuthibiti kuwepo kwa Shakhsiya ya bin Sabai, na kuwepo kundi linalomsaidia, na kumuunga mkono katika madai yake, na kundi hili linajulikana kwa jina la Assabaiyyah.

Abdallah bin sabai huyu alikuwa myahudi akajionyesha kuwa ni muislamu,isipokuwa ukweli ni kwamba alibakia  katika dini yake ya uyahudi akawa anaeneza sumu yake katika kipindi chote hicho.

Yeye ndie wa kwanza kudhihirisha matusi kwa masahaba wa mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam): Abubakar, ‘Umar,na ‘Uthmaan na masahaba wengine,  Nae ndio wa kwanza aliedai ukhalifa (uongozi) kwa Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) nae (bin Sabai) ndie aliesema kwamba Ali  ndie alieusiwa ukhalifa na mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)  na itikadi hii aliipata kutoka kwa mayahudi , na akawa (bin Sabai) anasema hakuyasema maneno haya ispokuwa kwakuwapenda familia ya mtume na kuwapigia kampeni katika ukhalifa,na kuwapiga vita maadui zao (ambao ni maswahaba na kila wenye kuwaunga mkono )  hayo ndio madai ya bin Sabai.

Ikiwa hivyo ndivyo basi kuwepo shakhsiya ya Abdallah bin saba’i  ni jambo la ukweli , haiwezekani  kulipuuza au kulikataa, na kwa kuthibitisha kuwepo kwake zimekuja aya mbalimbali katika vitabu vyetu vinavyo tegemewa  navyo ni:

الغارات للثقفي ،رجال الطوسي ،الرجال للحلي، قاموس الرجال للتستري، دائرة المعارف المسماه بمقتبس الأثر الأعلمي الحائري، الكني والألقاب لعباس القمي، حل الإشكال لأحمد بن طاووس المتوفى سنة 673، الرجال لابن داود،التحرير للطاووسي، مجمع الرجال للقهباني، نقد الرجال للتفرشي ،جامع الرواة للمقدسي الأردبيلي مناقب آل أبي طالب لإبن شهر أشوب، مرآة الانوار لمحمد بن طاهر العاملي

.

ALGHAARAT  CHA ATHAQAFIYY, RIJALU ALTWUSY, ALRIJAL CHA AL HULLY, QAMUS-ALRIJAL  LITTASITIRY, DAAIRATUL-MAARIFI,AL MUSAMATU BIMUQTABIS,AL ATHAR LIL-AALAMY, ALHAAIRIYI, ALKUNI WAL-ALQABI, LIABASILALQUMIYI,HALUL-ISHKALI LIAHMAD BIN TWAUS ALMUTAWAFASANA(673),ALRIJALULIBN DAUD, ATTAHARYRU LITWAUSIYI,MAJMAUARIJALI LILQAHBAAYI, NAQDU ALRIJAL LITAFRASHYI, JAMIU AL RUWATILIL MAQDISIYI AL-ARDUBAYLIY, MANAQIBU ALUABII TWALIB LIIBN SHAHRU ADHWAB, MIR-ATUL AN WAR  LI MUHHAMAD BIN TWAHIR AL-AMILIYI. Vitabu hivi tulivyo vitaja  ni mifano tu, kuna zaidi ya vitabu ishirini  ambavyo vinaonyesha  kuwepo bin sabai , basi  niajabu ilioje kwa wanavyuoni wetu mfano wa AL- MURTADHA AL- ASKARIY, NA SAYID MOHAMMAD JAWAD MUGHNIYAH, na  wengineo wasiokua hao  kati ya  wanao pinga  kuepo kwa mtu huyu , na bilashaka maneno yao haya hayana ukweli wowote .

Kuthibiti kuwepo kwa Shakhsiya ya bin Sabai, na kuwepo kundi linalomsaidia, na kumuunga mkono katika madai yake, na kundi hili linajulikana kwa jina la Assabaiyyah.

Abdallah bin sabai huyu alikuwa myahudi akajionyesha kuwa ni muislamu,isipokuwa ukweli ni kwamba alibakia  katika dini yake ya uyahudi akawa anaeneza sumu yake katika kipindi chote hicho,

Share