01-Zawadi Kwa Wanandoa: Mkataba: Makubaliano Na Maridhiano

 

Zawadi Kwa Wanandoa

 

01-Mkataba: Makubaliano Na Maridhiano

 

عقد الزواج

 

 

 

Mkataba wa Ndoa ni dalili tosha inayoonesha kuwepo kwa maelewano na makubaliano baina ya pande mbili, na kuridhiana baina ya mke na mume katika kusimamisha mahusiano ya kisheria baina yao. Huwakilishwa maridhiano haya katika maneno yanayotamkwa na yenye kupita baina ya hawa wenye kuwekeana mkataba huu, na huitwa kuwa ni Ijab na Qabuul

 

 

 

 

 

Share