Imaam Ibn Baaz: Tawhiyd Ndio Msingi Wa Yote
Tawhiyd Ndio Msingi Wa Yote
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
“Tawhiyd ni maudhui muhimu na ni msingi wa Dini na msingi wa yote waliyokuja nayo Rusuli (‘Alayhimus-Salaam) kutoka wa mwanzo wao (Aadam) mpaka wa mwisho wao (Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”
[Majmu’w Al-Fataawaa (9/63)]