Imaam Ibn Hajar: Hakuna ‘Ibaadah Yoyote Iliyothibiti Kutendwa Katika Mwezi Wa Rajab
Hakuna ‘Ibaadah Yoyote Iliyothibiti Kutendwa Katika Mwezi Wa Rajab
Imaam Al-Haafidhw Ibn Hajar (Rahimahu-Allaah)
Imaam Al-Haafidhw Ibn Hajar (Rahimahu Allaah) amesema:
“Hakuna kilichothibiti katika fadhila za mwezi wa Rajab wala katika Swiyaam (funga) zake wala katika Swiyaam khaswa humo wala Qiyaamul-Layl (kuswali usiku) makhsusi ndani yake chochote katika Hadiyth Swahiyh." [Tabyiyn Al-'Ajab, uk. 11]