030-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Wasiwasi Usingizini Au Kusikia Uoga Na Mfadhaiko
Hiswnul-Muslim
030-Du’aa Ya Wasiwasi Usingizini Au Kusikia Uoga Na Mfadhaiko
[113]
أَعـوذُ بِكَلِمـاتِ اللّهِ التّـامّـاتِ مِن غَضَـبِهِ وَعِـقابِهِ، وَشَـرِّ عِبـادِهِ وَمِنْ هَمَـزاتِ الشَّـياطينِ وَأَنْ يَحْضـرون.
A’uwdhu bikalimatiLLaahit-taammati min ghadhwabihi wa ’iqaabihi, washarri ’Ibaadihi, wamin hamazaatish-shayaatwini wa an yahdhwuruwn
Najikinga kwa maneno ya Allaah yaliotimia kutokana na ghadhabu Zake na adhabu Yake na shari ya waja Wake na vioja vya mashaytwaan na kunijia kwao[1]
[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Amruw bin Al-‘Aaasw (رضي الله عنه) - Abu Daawud (4/12) [3893], na Taz Swahiyh At-Tirmidhiy (3/171). Taz pia Sharh Al-‘Aqiydah Al-Waasitwiyyah ya Muhammad Khaliyl Al-Haraas uk (103], na ya Al-‘Uthaymiyn (Uk. 217).