064-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Mvua Inaponyesha
Hiswnul-Muslim
064-Du’aa Ya Mvua Inaponyesha
[172]
اللّهُمَّ صَيِّـباً نافِـعاً
Allaahumma swayyiban naafi’aa
Ee Allaah, Ijaaliye yenye kumiminika yenye kunufaisha[1]
[1]Hadiyth ya ‘Aaishah (رضي الله عنها) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (2/518) [1032]
Faida: Mvua inaponyesha ni wakati wa kutakabaliwa du’aa.