074-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Aliyealikwa Chakula Lakini Akawa Na Swawm
Hiswnul-Muslim
074-Du’aa Ya Aliyealikwa Chakula Lakini Akawa Na Swawm
[185]
إِذَا دُعِيَ أَحَدَكُمْ فَلْيُجِبْ، فَإِنْ كَانَ صَائِماً فَلْيَصِلَ وَإِنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ.
(وَمَعَنَى فَليَصِلَ أَي فَلْيَدَعَ).
Akialikwa mmoja wenu aitike mwito, akiwa na Swawm basi aombe du’aa (kumuombea aliyemualika) na kama hana Swawm basi ale[1]
[1]Hadiyth ya Abu Huraryah (رضي الله عنه) - Muslim (2/1054) [1431].