123-Hiswnul-Muslim: Inavyopaswa Kufanya Mtu Akipata Khabari Ya Kufurahisha
Hiswnul-Muslim
123-Inavyopaswa Kufanya Mtu Akipata Khabari Ya Kufurahisha
(Kusujudu Sajdah Moja)
[242]
كانَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم إذَا أَتَاهُ أَمْرٌ يَسُرُّهُ أَوْ يُسَرُّ بِهِ خَرَّ سَاجِداً شُكْراً للهِ تَبَارَكَ وَتَعَالَى
Pindi Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) ilipokuwa ikimfikia khabari ya kufurahisha husujudu (Sajdah moja) kwa kumshukuru Allaah Tabaaraka Wa Ta’aalaa[1]
[1]Hadiyth ya Abu Bakr (رضي الله عنه) - Ahlus-Sunan isipokuwa An-Nasaaiy; Abu Daawuwd [2774], At-Tirmidhiy [1578], ibn Maajah [1394], Taz Swahiyh Ibn Maajah (1/233) na Irwaa Al-ghaliyl (2/226)