Imaam Ibn 'Uthaymin: Usichukie (Majaaliwa) Anayokuchagulia Allaah

Usichukie (Majaaliwa) Anayokuchagulia Allaah

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

Usichukie (majaaliwa) ambayo Amekuchagulia Allaah, kwani Allaah hukuchugulia jambo ambalo lina maslahi makubwa kwako ambayo wewe hutambui.

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/309)]

 

 

 

Share