Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Kukanusha Haki Kunafisidi Nyoyo Na Akili

Kukanusha Haki Kunafisidi Nyoyo Na Akili

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:

Atakayedhihirishiwa haki kisha akaikanusha, atalipizwa kwa kufisidika moyo wake, akili yake na rai zake.

[Miftaah Daar As-Sa’aadah: 1/61]