055-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kumpanda Jalaalah, Naye ni Ngamia Anayekula Kinyaa Lakini Anapokula Malisho Yaliyo Tohara Husafishika Nyama Yake na Kuondoka Ukaraha Huo

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب كراهة ركوب الجَلاَّلة

وهي البعير أو الناقة التي تأكل العَذِرَة

فإنْ أكلت علفاً طاهراً فطاب لَحمُهَا ، زالت الكراهة

055-Mlango Wa Ukaraha wa Kumpanda Jalaalah, Naye ni Ngamia Anayekula Kinyaa Lakini Anapokula Malisho Yaliyo Tohara Husafishika Nyama Yake na Kuondoka Ukaraha Huo

 

Alhidaaya.com

 

وعن ابن عمر رضي الله عنهما ، قال : نهَى رسُولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم عَنِ الجَلاَّلَةِ في الإبِلِ أنْ يُرْكَبَ عَلَيْهَا . رواه أبو داود بإسناد صحيح .

Amesema Ibn 'Umar (Radhwiya Allaahu 'anhumaa): Amekataza Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kupandwa jalala wa ngamia. [Abu Daawuwd kwa Isnaad iliyo Swahiyh]

 

 

Share