Skip to main content

Al-Arba’uwn An-Nawawiyyah: Na Tarjuma Ya Kiswahili Na Sikiliza Hadiyth41-Al-Arba’uwn An-Nawawiyyah: Hatoamini Mmoja Wenu Mpaka Matamanio Yake Yatakapomili Yale Niliyokuja Nayo

Al-Arba’uwn An-Nawawiyyah:

Hadiyth Ya 41

لا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعَاً لِمَا جِئْتُ بِهِ

Hatoamini Mmoja Wenu Mpaka Matamanio Yake Yatakapomili Yale Niliyokuja Nayo

Alhidaaya.com

Sikiliza Hadiyth:

عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ عَبْدِ اللَّهِ بِنْ عَمْرُو بِنْ العَاصِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا  قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وآله وسلم: ((لا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعَاً لِمَا جِئْتُ بِهِ)) حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ، رَوَيْنَاهُ فِي كِتَابِ  الْحُجَّةِ  بِإِسْنَادٍ صَحِيحٍ.

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Muhammad ‘Abdillaah bin ‘Amru bin Al-‘Aasw (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Hatoamini mmoja wenu mpaka hawaa (matamanio) zake yatakapomili kutii yale niliyokuja nayo.” [Hadiyth Hasan Swahiyh, katika Kitabu “Al-Hujjah” kwa Isnaad Swahiyh]