Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

05-Matendo Mema Na Athari Yake Katika Utajiri Na Ukunjufu Wa Rizki: Mambo Yapasayo Kuchunga Katika Kutafuta Rizki

D. MAMBO YAPASAYO KUCHUNGA KATIKA KUTAFUTA RIZKI

CHUMO HALALI

Anasema Allaah:

“Enyi mlioamini kuleni katika vizuri Tulivyowaruzuku.” Al-Baqarah: 

Kutoka kwa Abu Hurayrah amesema, amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam):

“Enyi watu, enyi watu! Hakika Allaah ni Mzuri hakubali ila vilivyo vizuri, na hakika Allaah Amewaamrisha Waumini Aliyowaamrisha Mitume akasema, “Enyi Mitume kuleni katika vilivyo vizuri na mtende mema, hakika Mimi Najua mnayoyafanya.” Na akasema: “Enyi mlioamini kuleni katika vizuri nilivyowaruzuku.” Kisha akamtaja mtu anaenda safari ndefu nywele zina vumbi ananyanyua mikono yake mbinguni (kuomba), Ee Mola ee Mola, hali ya kuwa chakula chake ni haramu, kinywaji chake ni haramu, na mavazi yake ni haramu na amelelewa kwa haramu, vipi atajibiwa?”

Kutoka kwa Anas bin Maalik kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam) amesema:

“Kutafuta halali ni wajibu kwa kila Muislam.”


Book traversal links for Matendo Mema Na Athari Yake Katika Utajiri Na Ukunjufu Wa Rizki

  • ‹ 04-Matendo Mema Na Athari Yake Katika Utajiri Na Ukunjufu Wa Rizki: Sababu Ya Kudhikishiwa Rizki
  • Up
  • 06-Matendo Mema Na Athari Yake Katika Utajiri Na Ukunjufu Wa Rizki: Faida Ya Rizki Ya Halali Katika Dunia Na Akhera ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.